'Weka Pesa Pata Pesa, ' hivyo ndivyo wachezesha kamari wanavyowashawishi na kuwadanganya watu wanaopenda kubeti ili kupata Pesa za bwerere!Vijana walio wengi pamoja na wazee wamejikuta kwenye uraibu wa kucheza kamari huku kila siku wakizidi kufilisika mali zao kutokana na michezo hiyo ya kubeti (kamari). Ajabu kubwa ni pale unapowakuta vijana wanabeti au kucheza kamari tangu jua kuchomoza hata kuzama. Nani atalijenga taifa ikiwa nguvu...
Related Subjects
Poetry