Kitabu hiki kinaezea haki na wajibu wa mkopaji na mkopeshaji, jinsi ya kuweka na kukomboa rehani, utaratibu wa kudai madeni kisheria, na kuuza rehani, jinsi ya kuweka rehani mali zinazo hamishika (magari, pikipiki, mashine, fanicha za nani na origini nk.) na Sisizo hamishika (Nyumba, viwanja, mashamba nk..). Jinsi kuanzisha na kusajili taasisi ya fedha kama vile benki, saccos, vikoba, biashara zinazo jihusisha na ukopeshaji mitaani, jinsi ya kuanzisha...
Related Subjects
Law