Kama ungebadili maisha yako, ni vipi yangekuwa tofauti ?Safari ya kuwa huru ni uzoefu binafsi ambao utaongozwa kupitia mchakato wa kujulikana na wewe mwenyewe, watu wengine na Mungu pia. Safari ya kuwa huru inatuonyesha: - Ya kwamba mabadiliko ya kudumu yanawezekana.- Vile unaweza kushinda vikwazo na uwe na nguvu ya kuendelea mpaka mwisho.- Jinsi ya kuandika azimio lako mwenyewe kuhusu mabadiliko ili uweke fikira zako kwenye safari yako."Ninapendekeza...