Kemunto ana vipawa ajabu katika utunzi na uimbaji wa mashairi. Anaelekea kutambulika katika wilaya na mkoa...hadi anapokutana naye Makena, kijana wa kitajiri aliyedekezwa na wazazi wake. Kushiriki kwake mambo ya kimapenzi katika umri wake kutamwelekeza wapi Kemunto?