MWANAMKE KATIKA BIBLIA ni kitabu bora kabisa kilichoandaliwa maalumu kwa ajili ya kugusa maisha ya wanawake wote pamoja na idara na vyama vyao. Katika kitabu hiki chenye visa mbalimbali vya wanawake ndani ya Biblia, waandishi wamekusudia kutoa elimu, maarifa na ufahamu kwa kutumia wahusika ambao ni wanawake walio katika Biblia. Na hivyo basi, wote watakao soma kitabu hiki wataweze kuziandaa njia zao vyema kwa ajili ya wokovu. Waandishi wa kitabu hiki...