Bobea katika bahari ya fasihi ya Kiswahili, kuwa mwenye kujikita katika methali za Kiswahili na kujiamini kwa kuzifahamu methali zaidi ya 600 zilizoandaliwa kwa umakini wa hali ya juu na kupangiliwa kwa namna ya kumvutia msomaji kutokuchoka kuendelea kusoma. Kitabu hiki kimekithiri methali zilizothibiti kwa kuwepo kwa muda katika uwanda wa fasihi ya Kiswahili tokea mababu na mababu.
ThriftBooks sells millions of used books at the lowest everyday prices. We personally assess every book's quality and offer rare, out-of-print treasures. We deliver the joy of reading in recyclable packaging with free standard shipping on US orders over $15. ThriftBooks.com. Read more. Spend less.