Chuaro alilelewa katika eneo la mji wa Johannesburg nchini Afrika Kusini. Kwa masomo yake ya shule ya upili, alihudhuria shule ya bweni katika kijji cha Transkei ambapo watu waliishi maisha ya kizamani. Yeye na marafiki zake walifikiri wasichana katika maeneo hayo ya mashambani walikuwa wajinga kwa sababu hawakuvaa kama wao na walisumbuka zaidi kwamba wasichana hawakufunika matiti yao. Jumamosi moja alasiri walipokuwa wakitembea, walikutana na...