Skip to content
Scan a barcode
Scan
Paperback Jinsi Chui Alivyopata Madoadoa [Swahili] Book

ISBN: 9966469907

ISBN13: 9789966469908

Jinsi Chui Alivyopata Madoadoa/How the Leopard Got His Spots (Swahili Edition)

Vitabu vya Nyota vimetungwa maksudi ili viwawezeshe wanafunzi katika Afrika Mashariki kujifunza lugha ya Kiswahili katika hali ya kuburudisha. Kuna mengi ya kujifunza, toka lugha, yaliyomo na hata mitindo tofauti iliyotumiwa. Watoto watajifunza haya yote. Jinsi Chui Alivyopata Madoadoa ni mkusanyiko wa hadithi fupi. Katika hadithi hizi, tunasimuliwa juu ya asili ya matukio fulani fulani na yale yaliyotendeka kuyafanya yawe yalivyo leo. Kitabu hiki kimenuiwa kusomwa na wanafunzi wa Darasa la Tatu, la Nne na la Tano.

Recommended

Format: Paperback

Condition: New

$17.29
50 Available
Ships within 2-3 days

Related Subjects

Children's Children's Books

Customer Reviews

0 rating
Copyright © 2025 Thriftbooks.com Terms of Use | Privacy Policy | Do Not Sell/Share My Personal Information | Cookie Policy | Cookie Preferences | Accessibility Statement
ThriftBooks ® and the ThriftBooks ® logo are registered trademarks of Thrift Books Global, LLC
GoDaddy Verified and Secured