Kitabu hiki kinajumuisha mada mbalimbali zenye lengo la kukuza ujuzi wa lugha, fasihi na mawasiliano kwa wasomaji. Katika Kidato cha kwanza mwanafunzi hujifunza msamiati wa kawaida, sharia za lugha, misingi ya fasihi simulizi na fasihi andishi. Kidato cha pili huendeleza uelewa wa lugha na fasihi hivyo mwanafunzi hujifunza pia uundaji wa maneo katika lugha ya Kiswahili ambao hupelekea kuongezwa kwa misamiati katika lugha. Kidato...
Related Subjects
Language Arts