Brief SummaryA Voice from the Baobab Tree is about environmental degradation andit's conservation.Maelezo mafupi ya kitabuNi hadithi inayosimulia uharibifu wa Mazingira ambao unafanywa na wakazi wa kijiji cha Kitebwe. Hatimaye wanaonywa na Mbuyu pamoja na Mlima kuacha tabia ya kuharibu Mazingira. Wanakijiji wanakubaliana na maonyo hayo na kuyatekeleza maagizo yao. Matokeo yake ukame unatoweka na hali ya kijani inarejea tena Kijijini.